Jun 18, 2016

VIDEO: Mambo 9 ya Ray C Baada ya Kuchukuliwa na Polisi

Usiku wa June 16 kuamkia June 17 kuna video ya mwimbaji wa Bongofleva Ray C ilisambaa mitandaoni na kila mmoja kuzungumza habari tofauti kuhusu clip video hiyo, wapo waliosema Ray C kapata kichaa na mambo mengine mengi tu, nakusogezea mambo 9 ya kufahamu kuhusu Ray C baada ya kusambaa kwa video clip na yeye kuchuliwa na Polisi.

1- Polisi wamesema hawakumkamata Ray C bali walimpeleka hospitali kupatiwa matibabu

2- Ray C amepimwa hospitali wala hana kichaa ni mzima ana akili timamu.

3- Mkurugenzi wa uzalishaji na utafiti Clouds Media Ruge Mutahaba amethibitisha kuwa June 17 Ray amepelekwa Rehab Bagamoyo.

4- Rehab aliyopelekwa Ray C ni Bagamoyo mkoa wa Pwani, Rehab ambayo aliwahi kuishi Chid Benz wiki tano zilizopita.

Zaidi bonyeza PLAY mtu wangu:


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR