• Breaking News

  Jun 8, 2016

  VIDEO: Waziri Nape kaitoa hii ya wachezaji kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni

  Headlines za kutokea bungeni dodoma bado zinazidi kukufikia kwa wepesi zaidi kila kukicha, najua shauku ya wengi ni kuisubiria bajeti kuu kusomwa hapo kesho June 8 2016. Lakini bado kuna mengi ya kuyajua yanayoendelea hivi sasa.

  June 6 2016 Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye aliwasilisha bungeni azimio la bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa udhibiti wa matumizi ya dawa na mbinu za kuongeza nguvu michezoni.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku