• Breaking News

  Jun 11, 2016

  VIDEO:Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia akataa wabunge kukatwa kodi ktk kiinua mgongo


  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Hawa Ghasia amedai kuwa kuwakata kodi kwenye viinua mgongo ni kuwakata kodi mara mbili kwa kuwa wanakatwa kodi tayari kwenye mishahara yao na ametaka serikali kufikiria tena suala hilo
  Tazama Hapa:

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku