• Breaking News

  Jun 17, 2016

  Waziri Zanzibar Atoa Siku 14 Walioharibu Mikarafuu yake Kujisalimisha, Vinginevyo Atasoma Albadir

  Waziri asiye na Wizara Maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mhe. Said Soud,amewapa siku kumi na nne walioharibu shamba lake kujitokeza.

  Waziri huyo amesema kuwa watu hao wasipojitokeza atakusanya waganga wote nchini ili kuwasomea albadir. Akaongeza kuwa yeyote atakayejitokeza hatampeleka polisi.

  Siku chache zilizopita,watu wasiojulikana wamevamia na kuharibu shamba la Waziri huyo. Hata leo,imeripotiwa ITV kuwa watu wasiojulikana huko Pemba wamevamia na kukata mikarafuu tisa kati ya kumi ya mkazi mmoja wa hukohuko Pemba.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku