Jul 31, 2016

Aliyetengeneza Helikopta Tanzania na Baadae Kukatazwa na TCC Aitwa South Africa na Kiwanda cha Kutengeneza Helikopta


Adam Kinyekile(34), aliyetengeneza helikopta na kupelekea TCAA kukataza utengenezaji wa ndege kiholela, aalikwa ng'ambo
Amealikwa na kiwanda cha kutengeneza ndege za aina hiyo kilichopo Afrika Kusini

Una maoni gani?

No comments:

Post a Comment