• Breaking News

  Jul 14, 2016

  Azam TV Yakanusha Kukwepa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

  Azam PayTV Ltd ya Mauritius ndiyo mmiliki wa Azam Tv inayoonekana katika nchi zote za Afrika Mashariki na Kati pamoja na nchi nyingi za kusini mwa jangwa Ia Sahara kwa njia ya Satelite. Kampuni hii inawakilishwa na Azam Media Limited hapa nchini Tanzania.

  Azam Media Limited inapenda kuufahamisha Umma kuwa;


  1. Taari fa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa AZAM TV inakwcpa kulipa kodi ya Ongezcko la thamani (VAT) si kwcli na zinakusudia kuupotosha umma kwa ujumla.
  2. Tozo ya hudurna za Azam tv inalipiwa kodi ya Ongezeko Ia Thamani (VAT) kwani mmiliki wake arnbayc ni Azam Paytv Ltd ya Mauritius amcsajiliwa hapa nchini kwa madhumuni ya ulipaji wa kodi ya Onge-teko Ia Thaman i (VAT) kwa usajili nambari VRN 40-023191-C
  3. ldadi ya watcja Milioni 3 waliofungiwa ving'amuzi vya Azam TV iliyoripotiwa katika mitandao ya kijamii si ya kweli.
  4. Azam TV inatoa rai kwa wctcja wake na wananchi kwa ujumla kupuuza taarifa za uzushi na uongo zenyc lengo Ia kuchafua jina Ia Azam TV na kurudisha nyuma juhudi za Kampuni kutoa huduma bora ya Runinga kwa watcja wake


  • Pia Umma unatahadharishwa kuwa makini na taarifa mbalimbali zinazosambazwa katika rnitandao ya kijamii mara kwa mara kuhusu AZAM kwani taarifa hizo zina malcngo ya kuchafua jina Ia AZAM arnbalo linakubalika hapa nchini na nchi zotc barani Afrika.


  Hussein Sufiani
  Mkurugenzi wa Mawasiliano
  12 JULY 2016

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku