Jul 14, 2016

Huyu Hapa Ndio Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza aliyeteuliwa leo Baada ya David Cameron Kujiuzulu

Mama Theresa May (59) wa chamacha Wahafidhina (Conservative Party) leo ameteuliwa rasmi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza wa pili mwanamke (baada ya Margaret Thatcher  aliyeongoza kati ya mwaka 1979 hadi 1990  na Waziri mkuu wa 12 tokea utawala wa Malkia Elizabeth, na Waziri Mkuu wa 76 wa Uingereza) katika hafla ya faragha iliyofanyika katika kasri ya Malkia Elizabeth jijini London. Na tayari Malkia amemwomba aunde serikali, kuirithi ya Waziri Mkuu wa zamani David Cameron aliyeachia ngazi baada ya kura ya maoni iliyowafanya Waingereza wajitoe Umoja wa nchi za Ulaya.Install SIASA HURU App Kwenye Simu Yako Kusoma Habari hizi Kirahisi, Bonyeza HAPA

Post a Comment

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © Siasa Huru l Habari za Siasa | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by SiasaHuru.com