• Breaking News

  Jul 28, 2016

  Jaji Aliyetoa Hukuma ya Bilionea Moses Katumbi Afichua siri ya Kushinikizwa Atoe Hukumu Hiyo


  DRC: Jaji wa Mahakama ya Juu, Chantal Ramazani amekiri kushinikizwa na Majasusi kumtia hatiani kiongozi wa upinzani, Bilionea Moise Katumbi.

  Jaji Ramazani ambaye sasa hivi yuko mafichoni amesema mahakama ilikusudia kumzuia kiongozi huyo wa upinzani kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku