• Breaking News

  Jul 26, 2016

  John Mnyika Avipa Makavu Laivu Vyama vya Siasa Vinavyoishabikia CCM

  Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amesema vyama vya siasa vinavyoishabikia CCM havifai kuwepo kwenye vuguvugu la mabadiliko wanaloliendea.
  Unaunga mkono kauli ya Mnyika?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku