• Breaking News

  Jul 28, 2016

  Kijana Ashikiliwa na Polisi Kwa Kumtukana Rais Magufuli Mwanza


  MWANZA: Kijana mmoja anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumtukana Rais Magufuli akiwa na abiria wenzake kwenye gari. Baada ya kumtukana Rais, abiria wenzake walimpeleka Polisi.
  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, asema uchunguzi unaendelea. 

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku