Jul 30, 2016

Kundi la Navy Kenzo Laula Marekani..Leo Kukiwasha Viwanja vya Posta Kijitonyama Jukwaa Moja na Ali Kiba na Sauti Soul

Kundi la muziki wa kizazi kipya nchini linaloundwa na Aika na Nahreel, Navy Kenzo, limeingia mkataba wa kuwa mabalozi wa Klobaa App ya nchini Marekani.

App hiyo ya simu inatarajiwa kuzinduliwa leo katika tamasha la 'Mwendokasi Festival' litakalofanyika viwanja vya Posta Kijitonyama.

App hiyo ni mara ya kwanza kuingia Afrika na inazinduliwa kwa mara ya kwanza nchini Tanzania.

Navy Kenzo watapamba jukwaani moja na wasanii mbali mbali wa Bongo kama Ali Kiba, Sauti Soul, Christian Bella, Juma Nature, Man Fongo, Nay wa Mitego, Nuh Mziwanda, Mr Blue , Isha Mashauzi, Roma, Quick Rocka, Ruck Beibe na Wengine Wengi ...Usikose kiingilio Buku kumi tu MlangoniInstall SIASA HURU App Kwenye Simu Yako Kusoma Habari hizi Kirahisi, Bonyeza HAPA

Post a Comment

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © Siasa Huru l Habari za Siasa | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by SiasaHuru.com