• Breaking News

  Jul 30, 2016

  Mauaji ya Kutisha...Mke Amuua Mkwe Mwenza Kwa Kumcharanga na Panga...


  Mkazi wa kitongoji cha Kwirambo, Nyangi Mwita(30) auawa kwa kukatwa na mapanga na mke mwenza kutokana na wivu wa mapenzi.

  Mtuhumiwa wa mauaji alimsubiri mke mwenza aliyekuwa ameenda kuteka maji na alipofika nyumbani na kutua ndoo ya maji, alimkata panga shingoni na kufariki papo hapo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku