• Breaking News

  Jul 16, 2016

  Mbatia Jipime, NCCR Mageuzi inakufia Mfukoni

  Hivi kweli wanabodi James mbatia kwanini anakiua NCCR mageuzi chama chenye historia kubwa kuliko vyama vyote vya upinzani ?

  NCCR ya mwaka 1995 na hii nini tofauti sana !!

  NCCR ya one man show??
  Watu hawana hoja?
  Katibu mkuu ajulikani yuko wapi??
  Vipaji vya watu kama kafulila vinapotezwa tatizo ni nini??

  Wanachama wa NCCR amkeni
  Yaani leo NCCR imekuwa kama ACT wazalendo??
  Huyu anasema lake yule anasema lake ??
  Kila siku kuangaika na wakina mbowe??

  Niwaambie tu ukweli mchungu Mimi ni mmoja ya watu wanaoupenda upinzani lakini kwa hili la mbatia siwezi kungata meno huyu ni mamuluki aiwezekani chama kikose hata wabunge bungeni!!!

  By Technically/Jamii Forums

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku