• Breaking News

  Jul 31, 2016

  Mbowe Awasili Polisi Kuhojiwa....Lowassa Azuiwa Kuingia

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia  na Maendelea (Chadema), Freeman Mbowe  leo july 31 amewasili makao makuu ya jeshi la polisi kuitikia wito wa kuhojiwa na jeshi hilo huku hali ya  usalama ukiwa imeimarishwa   kabla na baada ya Mbowe kuwasili .

  Mbowe akiwa na msafara wa magari nane walikutana na ulinzi huo makali ambapo  magari ya Mbowe na Wakili Peter Kibatala ambaye alikuwa na Tundu Lissu ndio yaliruhusiwa kuingia.

  Gari la Edward Lowassa na viongozi wengine wamezuiwa kwenye geti la kuingia kituoni hapo ambapo geti hilo limezibwa na gari la maji ya kuwasha ili kutoruhusu gari yoyote kutoka au kuingia

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku