• Breaking News

  Jul 31, 2016

  Mbunge Professor Jay Akibeza Kingereza..Adai Sio Muhimu Kukijua...


  Msanii wa Hip Hop na Mbunge wa Mikumi, Professor Jay amesema kutokujua Kiingereza siyo dhambi. "Hii sijui kiingereza, Kiingereza ni Kushoboka tu. Viongozi wengi mbona tunaona wanakuja hapa Tanzania hawajui Kiingereza."

  Kwa upande wako unadhani kuna umuhimu wowote wa kukijua kiingereza?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku