Jul 24, 2016

Mbunge Professor Jay Kuvunja Ukimya Bongo Flevani..

’Napenda kuwakaribisha mashabiki wangu wakae tayari kwa kuupokea wimbo wangu mpya uitwao Kazi Kazi niliyomshirikisha Sholo Mwamba, maana ya Kazi Kazi kuwaambia watu walikata tamaa kitu kinachoweza kuwasaidia maishani ni kufanya kazi kwa bidii’– Professor Jay

No comments:

Post a Comment