Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amjibu Rais Magufuli baada ya kutoa kauli akiwa Singida kuwa walioshinda tu ndio wafanye siasa kwenye maeneo yao wasiingie kwenye majimbo mengine.

Lissu asema Rais Magufuli anavunja umoja wa kitaifa, adai anatumia vibaya vyombo vya dola


Post a Comment

  1. wwacheni mh. Rais afanye kazi tumechoka na masndamano badala ya kumsaidia atimize ndoto za watanzania. Kama nyie ni miamba n hi andanani hiyo tarehe moja sept, mtangulie viongozi na familia zenu.

    ReplyDelete

 
Top