Jul 14, 2016

Mwanasiasa Zitto Kabwe Afunga Ndoa...Tazama Picha Hapa

 Sasa ni Mr. & Mrs, mbunge wa kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amemuoa mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyika ZanzibarBonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR