Jul 31, 2016

Rais Magufuli Aamuru Mgodi Ugawe mawe ya Dhahabu Kwa Wananchi


Katika kile kinachoonekana kama maamuzi magumu zaidi kuwahi kufanywa na Rais Dr Magufuli,ni pamoja na kuagiza wananchi kugawiwa bure madini kutoka katika mgodi wa  GGM.

Rais Magufuli ametoa amri hiyo leo hii akiwa katika ziara zake katika mikoa ya tabora,shinyanga,na Geita,ambapo ameiagiza waizara ya nishati na madini kuhakikisha wananchi wanapata mawe ya madini hayo kwa ajili ya kuinua hali zao za maisha.


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR