Jul 31, 2016

Rais Magufuli: Wanaopinga Serikali yangu ni 'Mawakala wa Shetani'

Kaa ufikirie je wewe ni wakala wa Shetani au unamuunga Mkono Dr Magufuli katika kuijenga Tanzania Mpya yenye Uchumi wa Viwanda na Hofu ya Mungu.

Aidha leo anaendelea na Ziara itakayokuwa na HOTUBA Kali na kusisimua na zenye kuonesha njia ya kutekeleza ilani na kujenga TANZANIA YETU MPYA YENYE MAENDELEO, Rais ataongea na wananchi Misigiri na Shelui Singida na kisha ataingia mkoani Tabora ambapo atafanya Mikutano mikubwa ya hadhara Igunga na Nzega. Hapa kazi tu muda wa kubembelezana umekwisha.

Update:
Mawakala wa shetani ni kama

Mafisadi, wakwepa kodi, wazembe, wavivu, wasiofanya kazi, wakosoaji wa hovyo, wabadhirifu, wasusia vikao vya bunge etc na mashetani lazima waangamizwe kwa moto

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

3 comments:

  1. sawa baba KAMUA KAMUA MPAKA YAKAUKE MASHETANI YOOTE.

    ReplyDelete
  2. YENYEWE VYAMEKALIA KIMASLAHI MASLAHI TU,nothin else..

    ReplyDelete
  3. yaani MASHETANI HWATAKI MAENDELEO KWA WOTE WAO NI KUBOMOA NA SI KUJENGA,HUFIKIRIA ZAIDI MATUMBO YAO NA SI VINGINE,UWAKOMESHE NA YALEGEE..KWA JINA LA ALLAH MMOJA TU....

    ReplyDelete

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR