• Breaking News

  Jul 26, 2016

  VIDEO: Kama wewe ni mkazi wa Dar, isikupite hii ya RC Makonda

  Pamoja na kuwa Dar es salaam ni moja ya majiji yenye mlundikano wa watu wengi Tanzania, kumekuwepo na changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na uharifu. Mkuu wa mkoa Paul Makonda ana ujumbe kwa wananchi wake ambao amezungumza kwenye hii video hapa chini..

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku