Jana Mjini Dodoma ulifanyika mkutano mkuu maalum wa CCM ambao ajenda yake kubwa ni ya kumchagua Rais Dk. John Magufuli kuwa mwenyekiti wa tano wa chama cha Mapinduzi ‘CCM’. Baada ya hotuba ya Mwenyekiti wa chama hicho Jakaya Kikwete, katibu mkuu mstaafu Yusuph Makamba alipata nafasi ya kuzungumza:


Post a Comment

 
Top