Mambo ndo yamefika huku, Wakati upande mwingine upo busy kuchapisha T-shirt zenye maandishi ya Ukuta, Limeonekana Gari moja inayosemekana ni ya Polisi ikiwa imeandikwa maneno "VUNJA UKUTA, Ukuta ni operesheni ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania

Kazi Ipo..
Toa Maoni yako


Post a Comment

 
Top