Aug 5, 2016

Akaunti za Mitandao za Mbunge Tundu Lissu Kufungwa...Kamanda wa Polisi Singida Amchongea TRCA


Kamanda wa Polisi Singida amesema wanawasiliana na TCRA ili kuzifungia akaunti za mitandaoni za Mbunge Tundu Lissu. Adai zinatumika kueneza maneno ya kichochezi.

Amesema anaitumia mitandao hiyo kueneza chuki dhidi ya Jeshi la Polisi, Serikali na Rais.


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR