• Breaking News

  Aug 23, 2016

  Aliyekuwa Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria, Daniel Ole Njolay Arejeshwa Nchini

  Aliyekuwa balozi wetu nchini Nigeria Balozi Ole Njolay amerejeshwa nchini baada ya mkataba wake kumalizika.

  Mara nyingi kuanzia utawala wa awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere mabalozi wetu walikuwa na utaratibu kuongezewa muda wa kuendelea na majukumu yao.Hali imekuwa tofauti katika awamu hii muda unapokwisha hakuna utaratibu wa kuwaongezea muda hata kidogo.

  Nawasilisha kwa mjadala,faida na hasara za utaratibu wa sasa ukilinganisha na utaratibu uliozoeleka.Mfano Balozi Job Lusinde alikuwa balozi wetu China zaidi ya miongo miwili kabla hajahamishiwa Kenya na baadae kustaafu.Wajuzi wa haya maswala ya diplomasia naomba mchango wenu ....

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku