• Breaking News

  Aug 6, 2016

  AUDIO: Jerry Muro kaongea kwa mara ya kwanza leo August 5 baada ya kufungiwa na TFF

  Baada ya July 7 2016 kamati ya maadili ya shirikisho la soka Tanzania TFF kutangaza kumfungia mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Jerry Muro, leo August 5 2016 Jerry Muro kaongea na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza toka afungiwe.

  “Leo nimesoma gazeti limeandikwa Jerry aambiwa na TFF akate rufaa nashukuru viongozi wangu wanachama na mashabiki lakini tumepata barua ya mimi kufungiwa kwangu, kitu kimoja nachoweza kusema sijakata rufaa kwa sababu bado sijapokea nakala ya hukumu hivyo nawaomba TFF wanipatiE nakala ya hukumu”

  Msikilize:

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku