• Breaking News

  Aug 5, 2016

  Baba Amwandaa Mtoto Wake Aje Kuwa Raid wa Tanzania 2050, Wasafiri Kwa Baiskeli Kutoka Singida Hadi Dar


  Huyu dogo anaitwa Yusuph Mohamed Nassor (2), baba yake Mzee Ahmed Nassor (67) amesema wakati ana mwaka mmoja na nusu alisema anataka kuwa Rais hivyo anamuandaa kuja kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2050 kupitia Chama Cha CCM. Yeye na Baba yake wamekuja Dar es Salaam kutoka Singida kwa usafiri wa baiskeli kuja kuonana na Rais Magufuli

  Nini maoni yako hapo?

  3 comments:

  1. AMSOMESHE,AMPE MAADILI MEMA ILI MTOTO AIMARIKE KUWA KIONGOZI BORA.HII INAITWA KUKEREKETWA DAMUNI,MAANA JAMAA HANA MATATIZO YA AKILI.

   ReplyDelete
  2. Hahahahaha!Tehtehteh!Mpaka 2050 ni CCM tu?Au ndio mtindo wa kupokezana?Nyota njema huonekana asubuhi.

   ReplyDelete
  3. Malaika huyo jamani mweeh!hapo upinzani hakuna tena.ccm mbele kwa mbele

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku