• Breaking News

  Aug 6, 2016

  Barmedi Kanipenda, Kutokana na Kazi yake Naona Aibu Kuwa Naye...Nifanyaje?

  Kama kichwa cha habari kinenavyo. Mimi nimekuwa victim wa uhalisia huu.

  Nilikutana kwa Mara ya kwanza na dada huyu mwanzoni mwa mwaka huu. Katika bar moja iliyopo karibu na maeneo ya nyumbani kwangu. Mimi Ni mnywaji wa wastani hivyo hupendelea kunywa karibia na mazingira ya nyumba.

  Kwa Mara ya kwanza kulikuwa hakuna hisia baina yetu at all. Nilikuwa nikifika naagiza kinywaji na salaam kidogo basi kikisha najiondokea. Hapo nilikuwa na tamanio la mwili maana dada huyu wanywaji wote wa mbezi huja katika hiyo bar tokana na mvuto wa huyu dada. Na kiukweli dada kafungasha hips 50 kiuno 25, mtoto wa kisukuma. Kajaaliwa kweli kweli.

  Basi nkavuta Kasi. Nikajitupia Kula vyangu. Despite kuwa na woga ya foleni tokana na shape yake nikakaza moyo kweli nikala neema ya wasifu wake. Na kwakuwa nafahamiana na watu wa maeneo ya nyumbani basi nakuwa updated from time to time kuhusiana na mwenendo wake. Wengi wanasema anajielewa kwakuwa mi ndo mtu wa kwanza kumla tangia aanze kazi pale. Na yeye alinidokeza hvyo hvyo.

  Mimi sina hisia nae. Ila mwanamke ananiheshimu Sana. Hanichukulii kama a gold mine kutwa kuchimba mifuko yangu & understanding. Kuna time anaweza nipigia simu nisogee japo anione tu nakuta kinywaji kinanisubiri kwa bill yake. Sasa mpaka najiuliza Ni kwa mshahara upi na hela ipi anaweza afford kunilipia. At times najisikia vibaya at times I just grab a cold one & gulp on it. She calls kunijulia hali at all times. Inafika mahala nikiingia kwa hiyo bar wazee wananuna as if I draw all her attention kwa uwepo wangu na nawabania riziki.

  Kama miezi miwili iliyopita nilianza pokea msg za vitisho nyingi toka kwa watu wengi kidogo. Kumbe Ni huyu dada amekuwa akitoa number yangu Kila anapoombwa mawasiliano. Akisema kwamba Ana mwanaume ambaye Ni Mimi. Kiukweli she is loyal. Ana tabia ambazo Ni tofauti Sana na mazingira ya kazi take. Kiukweli Ni mwanamke mzuri kimwili na tabia. Shida Ni Mimi kuwa nae out in public kwa lile shape asee! Na kazi yake. Kiukweli napata guilty conscious kuwa nimemtumia kimwili wakati yeye Ana mapenzi ya dhati. Nifanyaje?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku