• Breaking News

  Aug 15, 2016

  BASATA yazidi kumng'ang'ania Nay wa Mitego, yasema wimbo wake bado una tatizo licha ya kufanyiwa marekebisho


  BASATA wamesema kuwa wimbo wa Nay wa Mitego 'Pale Kati' licha ya kufanyiwa marekebisho mara mbili lakini bado haufai kwa jamii hivyo umepigwa marufuku kuchezwa tena.

  Unawaunga mkono BASATA katika hilo?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku