Aug 7, 2016

Bodaboda Wakaidi Agizo la RC Paul Makonda

LICHA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwataka waendesha bodaboda na abiria wake kutii sheria ya kuvaa kofia za pikipiki (helmet), kamera yetu imewanasa baadhi ya abiria na madereva wao wakionekana kukaidi agizo hilo.

Kamera yetu imenasa matukio hayo katika mitaa mbalimbali ya Posta jijini Dar miongoni mwa madereva bodaboda na abiria wao wakionekana bila kuvaa helmet jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR