• Breaking News

  Aug 31, 2016

  Breaking News: Chadema Yatangaza Kuhairisha Operesheni UKUTA...


  CHADEMA yatangaza kuhairisha 'Operesheni UKUTA' hadi Oktoba Mosi kutoa nafasi ya mazungumzo kati ya Rais na viongozi wa Dini.

  Freeman Mbowe asema wamekutana mara nyingi kwenye vikao na Viongozi wa Dini lakini CCM imekuwa ikigoma kudhuria vikao hivyo

  1 comment:

  1. FANYENI TARATIBU NA KAMWE MSISHINDANE NA DOLA.

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku