• Breaking News

  Aug 19, 2016

  Breaking Newz:Malkia wa Taarabu Shakila Saidi Afariki Dunia Jioni ya leo
  Habari za kusikitisha zimetufikia muda huu kuwa malkia wa Tarabu nchini Bi. Shakila Saidi amefariki dunia jioni ya leo muda mfupi baada ya kuanguka na kukimbizwa hospitali ya karibu na nyumbani kwake Mbagala Charambe jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika vilivyo karibu na marehemu, Bi Shakila hakuwa anaumwa ila alianguka ghafla na alipofikishwa hospitali akakata roho.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku