Aug 29, 2016

BUNGE la Afrika Mashariki Laidhinisha Kiswahili Kuwa Lugha Rasmi

Bunge la Afrika Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki.

Wajumbe wa bunge hilo wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa yakisubiriwa sana kwa kuwa lugha hiyo imechukua jukumu kubwa la kuwaunganisha wakaazi wa Afrika Mashariki.

Hatua inayofuata ni kwamba mkataba wa EAC utalazimika kufanyiwa marekebisho

Chanzo: BBCBonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR