Aug 8, 2016

CHADEMA Wanaiga Style ya CUF ya Miaka ya Tisini!

Kwa wenye kumbukumbu mtakuwa mnalikumbuka sakata la IGP OMAR MAHITA(NGUNGURI) dhidi ya Chama Cha CUF(NGANGARI)

Hapa palitokea mikwara na ubishani kuhusu maandamano na mikutano ya hadhara na hatimaye CUF walichesea virungu kisawasawa na hadi leo hii wameufyata.

Sasa ninawashangaa Ukuta wakitumia mbinu zile zile zilizoshindwa kwa kutarajia kupeleka kilio ICC.

Kupinga Utawala halali uliochaguliwa na raia wema ni uhaini uchwara na adhabu yake inajulikana.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR