• Breaking News

  Aug 9, 2016

  Chama cha Ushirika cha Mwanza Chatumbuliwa..Watumishi Waandamizi Wasimamishwa


  Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba ameifuta bodi ya Chama cha Ushirika cha Mwanza(NCU) na kuwasimamisha kazi watumishi waandamizi.
  Ameagiza TAKUKURU iwachunguze na wenye hatia wafikishwe mahakamani maramoja.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku