• Breaking News

  Aug 20, 2016

  Chama Kikuu cha Upinzani Zambia Chagomea Matokeo ya Rais...Chafungua Kesi Mahakamani


  ZAMBIA: Chama kikuu cha upinzani, UPND kimefungua kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Rais Edgar Lungu.
  Chama hicho kimemuandikia Spika wa Bunge, kikimtaka achukue wadhifa wa Urais hadi uamuzi wa Mahakama utolewe.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku