Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga ameziponda ndege mpya za ATCL. Amedai hazina mwendo na zimetoka katika kampuni ndogo ya mtu binafsi, na amehoji ubora wake.

Ame sema ni ajabu kununuliwa kwa fedha taslimu wakati duniani kote ndege hununuliwa kwa kulipa kidogo kidogo wakati mteja akiendelea kuzitumia.


Post a Comment

 
Top