• Breaking News

  Aug 7, 2016

  Daktari Feki Afanya Kazi Kwa Miaka 10 Kama Daktari Bingwa Kwenye Hospitali Bila Kugundulika...

  Jamaa huyu amefanya kazi kama Daktari Bingwa kwenye Hospitali moja nchini Nigeria kwa Miaka 10 bila kugundulika. Kosa lake kubwa ilikuwa ni kupiga picha akiwa ameshika kiungo cha binadamu na kutupia kwenye mtandao wake wa kijamii ndipo wanoko walipoanza kumfuatilia na kugundua kuwa sio daktari.
  Toa maoni yako

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku