• Breaking News

  Aug 6, 2016

  Defao Yamkuta Kama ya Koffi, Akamatwa Kenya

  Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Rhumba, raia wa Jamhuri ya Kidemokasia ya Kongo, General Defao leo amezuiliwa kwenye hoteli moja iliyopo mjini Mombasa nchini Kenya baada kushindwa kulipa bili kiasi cha Ksh 20,000.

  Defao ameshindwa kulipa pesa hiyo baada ya kuongeza muda wa kuendelea kuishi kwenye hoteli hiyo ambayo alitakiwa aondoke juzi Alhamisi japo aliomba kuongezewa muda wa siku mbili kuanzia mpaka leo Jumamosi, Agosti 6 ambapo ameshindwa kulipa na kujikuta akishikiliwa kwa tuhuma hizo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku