• Breaking News

  Aug 11, 2016

  Donald Trump Amshushia Obama Tuhuma Nzito..Adai ni Mwanzilishi was Kundi la Wanamgambo wa ISIS


  MAREKANI: Mgombea urais kupitia chama cha Republican, Donald Trump amemtuhumu Rais Obama kuwa ni mwanzilishi wa kikundi cha wanamgambo cha ISIS.

  Amedai kuwa hatua ya Obama kuondoa baadhi ya vikosi vya Marekani nchini Iraq pia ilichangia kujiimarisha kwa ISIS

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku