Aug 30, 2016

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Kutumia Mbinu Hii Kuwasaka Wakopaji

 Jumuia ya Taasisi za Mikopo ya Elimu ya Juu Afrika (AAHEFA) imeishauri Bodi ya Mikopo Tanzania (HESLB) kutumia mfumo wa smartcard ili kukabiliana na changamoto ya ukusanyaji wa mikopo inayotolewa kwa wanafunzi.

Rais wa Jumuia hiyo, Charles Ringera alisema katuka mfumo huo hutolewa kadi ambayo huunganishwa mawasiliano ya mkopaji na hati yake ya kusafiria ili kuiwezesha HESLB kujua taarifa sahihi za mhitimu pindi itakapohitaji kurejeshewa mkopo.
Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR