• Breaking News

  Aug 4, 2016

  EWURA Imetangaza Kupanda Kwa Bei ya Mafuta


  Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei ya mafuta kuanzia jana kutokana na mabadiliko ya bei katika Soko la Dunia.

  Pia kuongezeka kwa bei kumechangiwa na kupanda kwa gharama za usafirishaji wa bidhaa hiyo kuja nchini.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku