• Breaking News

  Aug 13, 2016

  Gazeti la Ufaransa Lamtaja Magufuli Kama Kiongozi Ambaye Afrika imemsubiri Kwa Miaka 50

  Gazeti linalosomwa zaidi Ufaransa na nchi nyingine za Ulaya zinazoongea Kifaransa la kila wiki la Le Canard enchaîné imemtaja rais Magufuli kama kiongozi ambaye Afrika ilimsubiri kumpata kwa zaidi ya miaka 50 ili iendelea.

  Gazeti hilo limesema Magufuli ana zaidi ya asilimia 95 ya sifa ambazo kiongozi yoyote yule barani Afrika anahitaji ili kuipeleka nchi yake mbele, huku likisema uwezo wa Magufuli kusimamia utumishi wa umma, kupambana na rushwa uongozi madhubuti ni vitu muhimu sana kwa taifa lolote Afrika.

  Pia wameenda mbele sana na kudai nchi yoyote ile barani Afrika inahitaji sana huduma za afya,elimu bora,chakula na uchumi imara kuliko inavyohitaji demokrasia.

  Mdau una lipi la kusema kuhusu hili?.

  5 comments:

  1. MAGUFULI IS A GAME CHANGER IN AFRICAN LEADERSHIP. YOU KNOW I KNOW AND THEY KNOW... DONT YOU?

   ReplyDelete
  2. Ni Hawa Wafaransa Ndio Waliotia chachu ya vita wakitafuta maligafi. Wapo Congo sasa wanaingilia mambo ya ndani Tanzania kupitia uzembe, uduni, na Udhaifu wa maraisi wetu. Maraisi inabidi wakae nje wawajua na kuwafahamu mataifa ya kibepari na mirija yao kutumia Nchi zetu. Ukimwona bepari yeyote anampa sifa raisi wa Africa ujue ameshawaingia na wametimiza haja zao. Ni Wajinga waliwao. AAH africa. Ni nini. hatuna hata aibu, wala majivuno.

   ReplyDelete
  3. Ni sifa tu Zatuua na kutugombanisha na kutufanya maskini.
   Akili ni mali. Kosa kila kitu pata akili na elimu safi na muombe Mungu akupe hekima na uchaji.

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku