• Breaking News

  Aug 4, 2016

  HATIMAYE:Makamishna wa Tume ya Uchaguzi(IEBC) Kenya Wamekubali Kuachia Ngazi...


  Makamishna wa Tume ya Uchaguzi(IEBC) wamekubali kuachia ngazi baada ya mashinikizo ya muda mrefu kutoka vyama vya upinzani.

  Vyama vya Upinzani walitaka kuondolewa makamishna 9 wa ngazi ya juu, wakiwatuhumu kukipendelea chama tawala na hawana weledi wa kusimamia uchaguzi mkuu wa 2017

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku