• Breaking News

  Aug 15, 2016

  Hawa ndio Wateja wa Mahakama ya Mafisadi, Orodha yote Hewani

  Kutokana na kuwa na mtaji wa kianzio cha kesi tusihangaike na kutafta nyingine tuanze na hizi hapa

  1.Richmond hasara ya 350 billions
  Kashfa hii inamuhusisha waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa, ambaye kustaafu kwake kumelazimishwa kutokana na kashfa hii. Hii ndo kashfa iliyoshika nafasi ya juu kwa kuwa imeangusha mpaka serikali husika.

  2.ESCROW hii ni kashfa iliyoshirikisha watu viongozi mbali mbali na mapadree, 300 billions, hii kashfa ina kutokueleweka ndani mwake maana kila taasisi ilitoa Maelezo tofauti
  IKULU: Pesa za ESCROW si za serikali.

  BUNGE: CCM wanasema si za serikali, CHADEMA wanasema kuna ambazo ni za wananchi/serikali.

  MKAGUZI MKUU: Hajui jibu sahihi alimalizia kwakusema zinaweza kuwa au zisiwe za wananchi

  3. Lugumi : hii imetikisa sana na bado hatujajua itaisha vipi na wahusika wakuu ni LUGUMI na washirika wake,

  4. EPA, hii imeshika nafasi ya nne , wahusika walirejesha hela kimya kimya bila hata kujua ni kina nan,

  5. Upotevu wa makontena bandarini ,

  6.KAGODA, hii kashfa imetokea wakati wa uongozi wa mzee MKAPA lakin inadhaniwa kuwa imeisha kimya kimya,

  7. NHC, uuzwaji wa nyumba za serikali miaka ya 1996 ambaye alihusika ni waziri mkuu ambaye alishirikiana na wahusika kukamilisha suala ilo,

  8. SUKARI sakata ili lilinuhusisha bwana IDDI SIMBA ,Sukari kutoka nje tani za kutosha zilikwapuliwa kipindi hicho

  9. UCHOMAJI WA BENKI KUU NA KUPORA , suala Ili wahusika wanajulikana na huwa hawatajwi sana sana,

  10. ATCL, sakata la ATCL na ununuzi wa vifaa hewa , ukarabati hewa wa ndege na wafanyakazi hewa ,

  11. MEREMETA,

  12. AICC ARUSHA

  13. UUZWAJI WA VIWANJA VYA SERIKALI KINYUME

  14. UKWAPUAJI WA RANCHI ZA SERIKALI

  15. UKWAPUAJI WA HELA ZA MRADI WA MAJI,

  16. MAJENGO PACHA YA B.O.T BY LIYUMBA

  17. MAJENGO YA UVCCM Mizengwe katika ujenzi

  18. UNUNUZI WA MVUA YA THAILAND

  19. UNUNUZI WA MAGARI MABOVU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

  20. UTOROSHAJI WA TWIGA KWENYE NDEGE,

  21. UNUNUZI WA RADA,

  22. NDEGE MBOVU YA RAIS,

  23. MELI MBOVU YA B/MOYO

  24. UKARABATI WA NYUMBA YA UBALOZI KWA MABILION YA HELA , KWA UDANGANYIFU,

  25. WIZI WA B.O.T. 1998

  26. UUZWAJI WA MAGARI YA SERIKALI KINYEMELA

  27. LOAN BOARD ,

  28. UDA , ushahidi wa kutosha upo na Simon group wamehusika sana

  Tanzania ina kesi nyingi sana zinazohusiana na uchafu wa ufisadi, hebu nawe ongezea nyingine

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku