Aug 31, 2016

Hutaamini Alichosema Zari Kuhusu Ex Wake Pamoja na Mdogo wake Zulekha

Waswahili wanasema ushemeji haufagi.. lakini staa wa Singeli, Man Fongo aliongezea zaidi kwa kusema ‘hakunaga ushemeji tunakulaga.’

Na sasa msemo huo maarufu umepigiwa chapuo na roho ya Diamond, Mama T mwenyewe, Zari.
Akipost picha ya ex wake, Ivan aliyezaa naye watoto watatu akiwa na mdogo wake, Zulekha Ijumaa iliyopita, Zari aliandika: It’s flash back Friday akuna ushemeji tunakulaga #ZariAllWhiteParty plse correct my Swahili.”

Je! hiyo inamaanisha kuwa Zari amempa ruksa Ivan kujilia shemeji yake akitaka?

Picha hiyo hata hivyo, imeonesha kuwa hakuna uadui wowote uliopo sasa kati ya Zari na Ivan hasa kwakuwa bado watoto wao wanawaangunisha na wameendelea kumiliki baadhi ya biashara zao pamoja.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR