• Breaking News

  Aug 5, 2016

  Huu Ndiyo Mtihani wa Mwisho kwa Samatta Kucheza Europa League

  Leo Agosti 5, 2016, Shirikisho la Soka Barani Ulaya, UEFA limechezesha droo ya mechi za play offs kuelekea michuano ya Europa League hatua ya makundi ambapo mechi za kwanza zitachezwa Agosti 18 na marudiano itakuwa Agosti 25.
  Kwa upande wa Klabu ya KRC Genk ya Ugiriki amayoichezea straika Mtanzania, Mbwana Samatta imepangwa kucheza na klabu ya Lokomotiva Zagreb ya Croatia na mchezo wa kwanza watacheza ugenini na wakifanikiwa kuitoa timu hiyo ni rasmi Genk itakuwa imefuzu katika hatua ya makundi, Lokomotiva ilimaliza nafasi ya nne Ligi Kuu Croatia msimu 2015/2016.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku