• Breaking News

  Aug 18, 2016

  Idris Sultan Kajiondoa Kwenye Mtandao wa Instagram Dakika Chache zilizopita…

  Kama utakuwa unakumbuka mwaka 2015 msanii kutoka kwenye tasnia ya Bongo Movie, Elizabeth Michael aliingia kwenye headlines za kujiondoka kwenye mtandao wa instagram kutokana na matatizo yake binafasi.

  Sasa jana Tarehe 17 2016 Idris Sultan anazimiliki headlines mitandaoni baada ya kuchukua maamuzi ya kujindoka kwenye mtandao wa instagram bado haijajulikana tatizo ni nini, ila wadaku wa mjini wanadai ni kwasababu watu mbali mbali wameendelea kumponda katika mtandandao huo baada ya tetesi za kuachana na Wema Sepetu....

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku