• Breaking News

  Aug 27, 2016

  Jamaa Akamatwa Kwa Kumpa Mbwa Wake Jina la Rais


  Jamaa mmoja nchini Nigeria ambaye ‘alimbatiza’ mbwa wake jina la Rais wa nchi hiyo, Muhammadu Buhari na kuandika jina hilo kwenye mbavu za mbwa huyo, amekamatwa kwa madai ya kutishia kuvunja Amani. Joe Chinakwe, baada ya kuandika jina la rais mbavuni mwa mbwa huyo, alimtembeza katika eneo lenye wafuasi wengi wa kiongozi huyo wa nchi.

  Ungekutana na jamaa huyu ungemwambia nini?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku