AFYA: Kujichua(Punyeto) ni tabia inayoanza kwa vijana wakiwa kwenye umri wa kubalehe. Mara nyingi hutokea asubuhi wakati wa kuamka, usiku wakati wa kulala au bafuni wakati wa kuoga.

Tabia hii ina madhara na hatari kubwa zaidi ni kushindwa kufurahia tendo la ndoa kwa kuishiwa nguvu ukiwa katika ya tendo.

Je, unakubali kujichua(Punyeto) ina madhara kwa watu wa jinsia zote?


Post a Comment

 
Top